LARRYBWAY91

Chillin W/ a Funny Man @Mau…

Chillin W/ a Funny Man @Mau…

Happy Borndei Twanqala Twizzy…Born 2 Shine Over Errthnq!!

Happy Borndei Twanqala Twizzy…Born 2 Shine Over Errthnq!!

KICHUPA KIPYA : YOUNG DEE – ROCKSTAR [Offcial Video]

Kuwa wa kwanza kutazama video mpya ya ngoma ya Young Dee inayokwenda kwa jina la Rockstar ambayo  imeongozwa na dairekta Enos Olik.

MAJANGA YAENDELEA KUITAFUNA LEBO YA MMG, OMARION NAE ATUPWA JELA

MAJANGA YAENDELEA KUITAFUNA LEBO YA MMG, OMARION NAE ATUPWA JELA

Omarion B2k

Omarion MaybackUpepo mbaya bado umeendelea kuikumba Kambi ya Mayback Music Group inayomilikiwa na Rick Ross baada ya msanii mwingine anayefanya kazi katika lebo hiyo, Omarion, amekamatwa na kutupwa rumande kwa kosa la kukiuka sheria za barabarani.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti kwamba, Omarion alisimamishwa na askari wa barabarani Ijumaa asubuhi(Julai 18) eneo la San Fernando Valley kwa kosa la kupita…

View On WordPress

T.I AMPA JIBU LA KISTAARABU MAYWHEATHER

T.I AMPA JIBU LA KISTAARABU MAYWHEATHER

Floyd Mayweather Jr. Hosts Party At MGM's Studio 54
T.I na Mkewe Tiny

T.I na mkewe Tiny

Tofauti na watu wengi walivyokuwa wakifikiria kuhusiana na jibu ambalo angetoa  Rapa T.I baada ya bondia mkorofi, Floyd Money Maywheather, kukiri waziwazi kuwahi kuchepuka na mkewe aitwaye Tiny.

Hata hivyo kauli hiyo haikuonyesha kumchefua hata kidogo T.I na badala yake amemjibu kwa ufupi, ”I hope he is enjoying himself. God bless him.” alisema T.I

Kwa upande wake Tiny …

View On WordPress

KICHUPA KIPYA : STEREO FT. BEN POL – USIONE HATARI [Official Video]

Itazame video mpya ya Stereo inayoitwa Usiende Mbali akiwa amemshirikisha Ben Pol. Video imetengenezwa na  NextLevel Production chini ya muongozaji mahiri Adam Juma.

JULIANA KANYOMOZI AFIWA NA MWANAE WA PEKEE

JULIANA KANYOMOZI AFIWA NA MWANAE WA PEKEE

Juliana Kanyomozi
Juliana Kanyomozi

Juliana Kanyomozi

Staa wa Usiendele mbali, Juliana Kanyomoze, amepatwa na pigo kubwa la kuondokewa na mtoto wake wa kiume wa pekee aitwaye Keron aliyezaa na mzazi mwenzake, Amon Lukwago kabla ya kutengana.

Keron amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 11 kwenye hospitali ya Agha Khan iliyopo mjini Nairobi nchini Kenya baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa pumu kipindi akiwa shuleni.

Watu mbalimbali…

View On WordPress

RAIS MWAI KIBAKI AZUSHIWA KIFO MTANDAONI

RAIS MWAI KIBAKI AZUSHIWA KIFO MTANDAONI

Mwai Kibaki
Mwai Kibaki

Mwai Kibaki

Ama kweli Duniani kuna mambo, Rais wa awamu ya Tatu wa Kenya, Mwai Kibaki, ameongeza idadi ya watu mashuhuri wa Kenya waliowahi kuzushiwa kifo baada ya Tovuti moja maarufu  nchini humo kusambaza taarifa za uzushi za kutokea kwa kifo chake na hatimaye habari hizo kuhamia kwenye mtandao wa Twitter.

Inaelezwa  ilianza kama utani  kwa madai kuwa Rais Mwai Kibaki amefariki Dunia nyumbani…

View On WordPress

DMX AAMUA KUMRUDIA MUUMBA WAKE

DMX AAMUA KUMRUDIA MUUMBA WAKE

DMX
DMX

DMX

Gwiji wa muziki wa kufokafoka kutoka mamtoni, Earl Simmons AKA DMX, amepost picha kwenye ukurasa wake wa Facebook  akiwa anasoma maandiko ya kitabu kitakatifu(Biblia) na kisha kuweka ujumbe wa maneno ya Mungu.

”Bwana Mungu, mwokozi wangu, usihukumu mwenendo wangu  badale yake, chukua kilichomo ndani ya moyo wangu na ukiweke katika kichwa changu ”Malaika”. aliandika DMX. 

Hata hivyo DMX bado…

View On WordPress

TAIFA STARS YALAZIMISHWA SARE NA TIMU YA TAIFA YA MSUMBIJI

TAIFA STARS YALAZIMISHWA SARE NA TIMU YA TAIFA YA MSUMBIJI

Taifa Stars
Mchezaji wa Taifa Stars na klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samartha akiwania mpira na mchezaji wa msumbiji

Mchezaji wa Taifa Stars na klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samartha akiwania mpira na mchezaji wa msumbiji

Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, imeshindwa kutamba katika ardhi ya nyumbani  baada ya kukubali sare ya mabao 2 – 2 dhidi ya timu ya Taifa ya Msumbiji maarufu kama The Mambas katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam katika mchezo wa kusaka tiketi ya…

View On WordPress